Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Tuesday, January 15, 2013

PIQUE: BUSQUET NI NOMA

 Sergio Busquets
Sergio Busquets

Yawezekana majina kama Messi,Iniesta,Xavi na wengineo yakawa sana midomomi mwa watu lakini jina la mchezaji Sergio Busquest lisiwepo kabisa katika midomo ya watu.Lakini leo hii beki wa timu  ya soka ya Barcelona Gerad Pique amefunguka na kusema kuwa kiungo wa timu hiyo na timu ya taifa ya Hispania Busquets ni muhimu mno katika klabu hiyo ya Catalunya na kama ni alama anapata alama 10/10.Siyo muongeaji sana uwanjani lakini ni muhimu sana kwa timu.

Akizungumzia mchango wa nyota huyo Gerad Pique anasema"kucheza na Busquets ni msaada tosha kwa sisi mabeki.Anaweza kuusoma mchezo vyema katika namna zote za kushambulia na kuzuia.Hayo ni maneno ya beki wa kati kunako klabu ya FC Barcelona Gerad Pique.

0 comments:

Post a Comment