
Magoli ya mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema na lile la kujifunga la mchezaji wa Valencia Jose Andres Guradado yalitosha kuipa klabu ya Real Madrid ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya timu ya Valencia katika hatua ya kwanza ya robo fainali ya kombe la mfalme maarufu kama Copa Del Rey. Kwa ushindi huo Madrid wamejiweka katika hatua nzuri ya marudiano ya kombe hilo katika uwanja wa Mestalla.
0 comments:
Post a Comment