
Mshambuliaji raia wa Nigeria Peter Osaze Odemwingie jana alikuwa shujaa wa klabu yake ya West Bromwich Albion(WBA) mara baada ya kuifungia mara mbili katika ushindi walioupata wa magoli 2-0 dhidi ya Southampton.Katika pambano hilo la mwendelezo wa Ligi kuu ya England ulikuwa ni mwiba kwa kocha wa Southampton Roy Adkins kwani bado timu ya Sothampton ipo katika hali mbaya kwani timu hiyo imekuwa ikifanya vibaya sana katika Ligi Kuu ya England.
0 comments:
Post a Comment