Bundesliga ni ligi kuu ya mpira wa mguu nchini Ujerumani na ndio ligi mama wa ligi zote nchini Ujerumani.Bundesliga kabla ya kunzishwa kwake imepitia mabadilko mbalimbali tangu ilipokuwa inachezwa kama mpira wa ridhaa. Kuanzishwa kwa Bundesliga kama ligi ya taifa kumekuja mara tu baada ya kombe la dunia la mwaka 1962 baada ya timu ya taifa kufungwa na Chile 1-0 katika mchezo wa robo fainali na hii ni moja tu ya sababu katka zile nyingi.Bundesliga ilianzishwa tarehe 28-7-1962 ikianza na msimu wa.
1962-1963 na Hermann Gosmann akichaguliwa kuwa rais wa kwamza wa chama cha soka DFB.
Bundesliga inashirikisha timu 18 na inahusisha kupanda na kushuka daraja kwa timu 2 katika msimu ambao huanza mwezi wa 5 mpaka mwezi wa 8 na mech nyingi huchezwa jumamosi na jumapili na chache katikati ya wiki.Jumla ya timu 51 zimeshriki Bundesliga tangu kuanzishwa kwake na ligi inashika nafasi ya tatu kwa ubora kwa mujibu wa chama cha soka Ulaya UEFA kutokana na takwimu za hivi karibuni.Kila timu katika Bundesliga ina leseni na jinsi ya kupata leseni lazima iwe inajiweza kiuchumi na vigezo vingine vya kuifanya ifanye kazi kama taasisi nyingine.
MABINGWA.
Bayern Munchen 22 jezi zao zikiwa ba nyota 4
Borrusia Dortimund 5 jezi zao zikiwa na nyota2 pia ndo bingwa wa sasa
Borrusia Monchengladbacch 5 jezi zao zkiwa na nyota 2
SV Werder Bremen 4 jezi zo zikiwa na nyota 1
Harmburger SV 3 jezi zao zikiwa na nyota 1
VfB Stuttgart 3 jezi zao zikiwa na nyota 1
Zingatia: Nyota katika katika jezi zinatokana na idadi ya makombe ya Bundesliga timu iliyochukua na kila makombe 3 nyota 1, 5 nyota 2, 10 nyota 3, 20 nyota 4.
WAFUNGAJI BORA:
Guerd Muller |
Guerd Muller - Fc Buyern Muchen -365
Klaus Fischer - FC Schalke O4 -268
Jupp Heynkeckes -Monchengladbach - 220
Manfred Burgsmuller -Borrusia Dortimund - 213
Urf Kilsten -Bayer 04 Leverkusen -181
MECHI NYINGI:
Kerl Heinz Korbel -Eintratcht Frankfurt - 602
Manfred Keltz -Hamburger Sv -581
Oliver Kahn - FC Bayern Munich -557
Klaus Fichtel - FC Schalke 04 -552
Miloslav Voltava - SV Werder Bremen - 546
MCHEZAJI MDOGO KUCHEZA BUNDESLIGA
NURI SAHINI |
Nuri Sahin - Borrusia Dortimund - 16 na siku 335
MCHEZAJI MDOGO KUFUNGA GOLI:
Nuri Sahini - Borrusia Dortimund - 17 na siku 82
0 comments:
Post a Comment