Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Wednesday, January 2, 2013

KUELEKEA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA:KIKOSI CHA ETHIOPIA CHATANGAZWA


 

Kocha mkuu wa Ethiopia Sewnet Bishaw ametangaza kikosi cha wachezaji 23 tayari kwa ajili ya michuano ya mataifa ya Afrika itakayofanyika nchini Afrika Kusini.Kikosi kamili ni:

Magolikipa: Jemal Tassew (Coffee FC), Sisay Bancha (Dedebit), Zerihun Tadelle (Saint George)
Defenders: Degu Debebe (Saint George), Biyadglign Eliase (Saint George), Abebaw Butako (Saint George), Alula Girma (Saint George), Seyum Tesfaye (Dedebit), Birhanu Bogale (Dedebit), Aynalem Hailu (Dedebit)

Viungo: Asrat Megersa (EEPCO), Addis Hintsa (Dedebit), Yared Zinabu (Saint George), Shimelese Bekele (Saint George), Behailu Asefa (Dedebit), Minyahel Teshome (Dedebit), Dawit Estifanose (Coffee FC), Yussuf Saleh (Syrianska)

Washambuliaji: Saladin Seid (Wadi Degla), Adane Girma (Saint George), Umed Ukuri (Saint George), Getaneh Kebede (Dedebit), Fuad Ibrahim (Minnesota Stars)

0 comments:

Post a Comment