Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Saturday, October 27, 2012

ARSENAL YASHINDA NYUMBANI DHIDI YA QPR

Spain gain: Mikel Arteta poked home a late winner for Arsenal against 10-men QPR
Alikuwa kiungo raia wa Hispania Mikel Arteta ambaye alifukuwa shujaa wa Arsenal mara baada ya kufunga goli pekee na la ushindi dhidi ya timu ngumu ya QPR katika ile 'London Derby'.Katika pambano hilo beki Mbia wa QPR alitolewa nje kwa kadi nyekundu katika dakika ya 80.

0 comments:

Post a Comment