
Mshambuliaji Carlos Teves jana alikuwa shujaa wa Man City mara baada ya kuipa timu hiyo ushindi wa goli moja dhidi ya timu ngumu ya Swansea City.Goli la Tevez lilikuja dakika ya 61 akipokea pasi ya Gael Clichy na kuipa ushindi Man City na hivyo kushika nafasi ya pili nyuma ya Chelsea ambayo leo wanacheza na Man United.
0 comments:
Post a Comment