Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Friday, August 17, 2012

NI MSIMU MWINGINE WA LA LIGA


NI LA LIGA TENA MSIMU HUU

WACHEZAJI
date
GHALI LA LIGA MSIMU HUU
player

to

from

m€
Jun 12
Jordi Alba
Barcelona
Valencia
14
Jul 12
Sergio Canales
Valencia
Real Madrid
7.5
Jul 12
Youssef El Arabi
Granada
Al-Hilal
5
Jul 12
Geoffrey Kondogbia
Sevilla
Lens
4
Jul 12
Carlos Vela
Real Sociedad
Arsenal
3.8

NANI AMETOKA NA NANI AMEINGIA PRIMERA LA LIGA

                                                 
Athletic Bilbao (€ 2.5m-Kiasi cha fedha kilichotumika kwa usajiri)
Walioingia: Isma Lopez toka kwa usajiri huru toka(Lugo), Aritz Aduriz  kutoka (Valencia  2.5m).
Atletico Madrid (€ 1m-Kiasi cha fedha kilichotumika kwa usajiri)
La Liga
 Walioingia: Cata Diaz kutoka (Getafe 1m0; Kiungo wa Uruguay Cristian Rodriguez kwa uhamisho huru kutoka (Porto); kiungo Emre Belozoglu kwa usajiri huru (Fenerbahce).
Barcelona (€ 14m-Kiasi cha fedha kilichotumika kwa usajiri)
Waliongia: Beki Jordi Alba from akitokea (Valencia 14m).

Betis (€ 0.3m-Kiasi cha fedha kilichotumika kwa usajiri)
Waliongia:Beki Paulao (usajiri wa moja kwa moja) kutokaSaint-Etienne; kiungo Juan Carlos Perez kutoka( Braga); Salvador Agra( Olhanense 0.3m); mshambuliaji Joel Campbell akitokea(Arsenal) Ruben Perez akitokea (Atletico Madrid) kwa mkopo.


Celta Vigo(€ 2.5m-Kiasi kilichotumika kusajiri)
Walioingia: Augusto Fernandez (Velez   1.5m);kiungo Gustavo Cabral akitokea Arsenal Sarandi   0.5m;Samuel Llorca (Hercules  0.5m); Golikipa Javi Varas akitokea kwa mkopo (Sevilla).
Dportivo La Collurna
Walioingia:Kiungo Javier Camunas mkopo toka (Villarreal);Beki Carlos Marchena mchezaji huru toka (Villarreal); mshambuliaji Nelson Oliveira toka kwa mkopo (Benfica Lisbon); Roderick Miranda toka kwa mkopo (Benfica Lisbon); Abel Aguilar akitokea kwa mkopo (Hercules0; Evaldo akitokea kwa mkopo (Sporting Lisbon); Pizzi akitokea(Braga)kwa mkopo; Andre Santos akitokea (Sporting Lisbon) kwa mkopo.
Espanyol (€ 0.4m-Kiasi kilichotumika kusajiri)

Walioingia:Kiungo Ramon Morant akitokea (San Roque); Beki Joan Capdevila akitokea (Benfica 0.4m);kiungo Mghana Wakaso Mubarak akitokea (Villarreal);Sergio Tejera (Mallorca); Diego Colotto (Deportivo La Coruna).

Getafe (2.4-Kiasi kilichotumika kusajiri)

Walioingia:Kiungo Xavi Torres akitokea Levante  0.4m); Golikipa Miguel Angel Moya (Valencia 2m); Angel Lafita (Real Zaragoza);David Abraham akitokea (Basel).
Granada(€ 5.8m-Kiasi cha fedha kilichotumika kusajiri)
Walioingia: Alex Bernal (Betis); Venezuelan forward Darwin Machiso (Mineros Guyana); Mmorocco  Youssef El Arabi (Al-Hilal 5m); Brayan Angulo (Atletico Baleares); Iriney (Betis); Juanma Ortiz (Rangers); Antonio Floro Flores (Udinese);Gabriel Torje (Udinese); Defender Borja Gomez (Karpaty 0.8m).
Levante(€ 0.4m-Kiasi cha fedha kilichotumika kusajiri)
Walioingia:Theofanis Gekas (Samsunspor);Christian Lell (Hertha Berlin);Nikos Karabelas (AEK Athens);Papakouli Diop from Racing Santander 0.2m); Costa Rican Keylor Navas (0.2m); Pedro Rios (Getafe);Michel (Valencia);Angel Rodriguez (Elche).
Mallorca (€ 1.2m-Kiasi cha fedha  kilichotumika kwa usajiri)
Walioingia:Javier Arizmendi (Getafe); Golikipa Ruben Mino Barcelona); Javi Marquez (Espanyol 1.2m).

Ossasuna

Walioingia: Joseba Llorente (Real Sociedad);Emiliano Armenteros (Sevilla);Alejandro Arribas (Rayo Vallecano);Sisi (Valladolid);Nano (Numancia).

Rayo

Walioingia:Kiungo kutoka Ghana Mohammed Abu (Manchester City);Alejandro Galvez (Gijon); Golikipa Ruben (Malaga);Jordi Amat (Espanyol);Adrian Gonzalez (Racing Santander); Nicki Bille Nielsen (Villarreal); Jose Carlos (AEK Athens).
Real Sociedad (€ 3.8m-Kiasi cha fedha kilichotumika kwa usajiri)
Walioingia:Jose Angel (Roma);Carlos Vela (Arsenal 3.8m);Chori Castro (Mallorca).
Sevilla (€ 12.5m-Kiasi cha fedha kilichotumika kwa usajiri)
Walioingia:Alberto Botia (Gijon 3m); Cicinho (Palmeiras  2m); Geoffrey (Kondogbia 4m); Bryan Rabello (Colo Colo); Hedwiges Maduro (Valencia); Golikipa Diego Lopez (Villarreal 3.5m).
Valencia (€ 17.1m-Kiasi cha fedha kilichotumika katika usajiri)
Walioingia:Nelson Valdez (Rubin Kazan);Didac Vila (Milan);Fernando Gago (Real Madrid 3.5m);Sergio Canales 7.5m);Andres Guardado (Deportivo La Coruna); Joao Pereira 3.6m); Jonathan Viera  (Las Palmas 2.5m).

Valadollid

Walioingia: Omar (Huesca);Patrick Ebert (Hertha Berlin); Juan Angel Neira (Lanus); Serbian  Antonio Rukavina (1860 Munich); Lluis Sastre (Huesca).
Zaragoza(€ 1m-Kiasi cha fedha kilichotumika kwa usajiri)
Walioingia: Apono (Malaga1m);Lucas Porcar (Villarreal);Javi Alamo (Recreativo Huelva);  Romaric (Sevilla); Glenn Loovens (Celtic Glasgow); Defender Alvaro Gonzalez (Racing Santander);Lucas Wilchez (Colo Colo);Franco Zuculini (Hoffenheim);Paco Montanes  (Alcorcon).




Bingwa alikuwa ni Real Madrid msimu uliopita.
Ilikuwa ni rekodi  nyingine kwa klabu ya Real Madrid msimu uliopita kwa klabu hiyo maarufu kama ‘Galacticos’kufikisha pointi 100 huku wakiweka pia rekodi ya kufunga magoli 121.Mafanikio ya Real Madrid msimu uliopita yalichagizwa na kocha wa timu hiyo Jose Mourinho ambaye naye aliweka rekodi yake kwa kufikisha idadi ya makombe saba ambayo aliyatwaa akiwa na timu tofauti kama Porto,Chelsea,Inter Milan na Real Madrid ndani ya ligi za Uingereza,Ureno.Italia na Uhispania.Swali ni kuwa Je,Madrid wataweka rekodi nyingine msimu huu????
MSIMU ULIOPITA WA PRIMERA LA LIGA ULIKUWA HIVI
  • Champions: Real Madrid (UEFA Champions League Stage)
  • Runners-up: Barcelona (UEFA Champions’ League group stage)
  • Third place: Valencia (UEFA Champions’ League group stage)
  • Fourth place: Malaga (Champions League QR4)
  • Fifth place: Atletico Madrid (UEFA Europa League group stage)
  • Sixth place: Levante (UEFA Europa League QR4)
  • Cup finalists: Athletic Bilbao (UEFA Europa League QR3)
  • Relegated: Racing, Gijon, Villarreal
  • Promoted: Deportivo La Coruna, Celta Vigo and Valladolid.
Timu
Ubingwa
2006/07
2007/08
2008/09
2009/10
2011/12
Real Madrid
32
1
2
2
2
1
Barcelona
21
3
1
1
1
2
Atletico M.
9
4
4
9
7
5
Athletic B.
8
11
13
8
6
10
Valencia
6
10
6
3
3
3
Real Sociedad
2
-
-
-
15
12
Sevilla
1
5
3
4
5
9
Deportivo
1
9
7
10
18
-
Betis
1
13
18
-
-
13
Mallorca
-
7
9
5
17
8
Espanyol
-
12
10
11
8
14
Getafe
-
14
17
6
16
11
Osasuna
-
17
15
12
9
7
Zaragoza
-
18
-
14
13
16
Malaga
-
-
8
17
11
4
Valladolid
-
15
16
18
-
-
Levante
-
20
-
-
14
6
Rayo Vallecano
-
-
-
-
-
15
Granada
-
-
-
-
-
17
Celta Vigo
-
-
-
-
-
-
MSIMU ULIOPITA ULIKUWA HIVI (2011/2012)
#
team
points
g.dif.
win-draw-loss
1
Real Madrid
100
89
32-4-2 (38)
2
Barcelona
91
85
28-7-3 (38)
3
Valencia
61
15
17-10-11 (38)
4
Malaga
58
1
17-7-14 (38)

5
Atletico Madrid
56
7
15-11-12 (38)
6
Levante
55
4
16-7-15 (38)
7
Ossasuna
54
-17
13-15-10 (38)
8
Mallorca
52
-4
14-10-14 (38)
9
Sevilla
50
1
13-11-14 (38)
10
Athletic Bilbao
49
-3
12-13-13 (38)
11
Real Sociedad
47
-6
12-11-15 (38)
12
Betis
47
-9
13-8-17 (38)
13
Getafe
47
-11
12-11-15 (38)
14
Espanyol
46
-10
12-10-16 (38)
15
Rayo
43
-20
13-4-21 (38)
16
Zaragoza
43
-25
12-7-19 (38)
17
Granada
42
-21
12-6-20 (38)

18
Villarreal
41
-14
9-14-15 (38)
19
Gijon
37
-27
10-7-21 (38)
20
Racing
27
-35
4-15-19 (38)

 

 

 

 

 

 

 Wachezaji muhimu katika vilabu shiriki vya La LIGA 2012/13 na thamani zao katika mabano(fedha)

Athletic Bilbao

Golkeeper Gorka Iraizoz (4); Defense: Javi Martinez (22), Fernando Amorebieta (9), Andoni Iraola (9), Mikel San Jose (4.5); Midfield: Ander Herrera (8), Markel Susaeta (6.5), Oscar de Marcos (6); Foward: Fernando Llorente (25), Iker Muniain (20), Aritz Aduriz (4m).

Atletico Madrid

Goalkeeper Thibaut Courtois (9); Defense: Diego Godin (12), Filipe (8), Silvio (8), Juanfran (8), Miranda (7); Midfield: Arda Turan (15.5), Emre Belozoglu (7.5), Tiago (7); Forward: Falcao (40), Adrian (10m).

Barcelona

Goalkeeper Victor Valdes (20); Defense: Gerard Pique (38), Dani Alves (36), Javier Mascherano (30); Midfield: Andres Iniesta (65), Cesc Fabregas (55), Sergio Busquets (35), Xavi (35); Forward: Lionel Messi (100), David Villa (35), Alexis Sanchez (30m).

Celta Vigo

Goalkeeper Javi Varas (3); Defense: Hugo Mallo (1.8), Roberto Lago (1.2), Samuel Llorca (1); Midfield: Augusto Fernandez (2.5), Jonathan Vila (1), Cristian Bustos (1), Alex Lopez (1), Natxo Insa (0.9); Forward: David Rodriguez (1.5), Iago Aspas (1.2m).

Deportivo La Coruna

Goalkeeper Daniel Aranzubia (3); Defense: Carlos Marchena (3), Evaldo (2.5), Aythami (2); Midfield: Andre Santos (4.3), Abel Aguilar (2.5), Javier Camunas (2), Diogo Salomao (2); Forward: Nelson Oliveira (6), Pizzi (4.5), Riki (1.8m).

Espanyol

Goalkeeper Cristian Alvarez (2.5); Defense: Hector Moreno (6), Diego Colotto (4), Juan Forlin (4), Felipe Mattioni (2); Midfield: Joan Verdu (5), Javi Lopez (2.5), Jose Raul Baena (2.4), Wakaso Mubarak (2); Forward: Sergio Garcia (3), Thievy Bifouma (2.5m).

Getafe

Goalkeeper Miguel Angel Moya (2); Defense: David Abraham (3.5), Mane (3), Miguel Torres (3); Midfield: Diego Castro (5), Pedro Leon (4.5), Abdelaziz Barrada (4), Mehdi Lacen (3.5), Xavi Torres (3); Forward: Miku (4), Daniel Guiza (3m).

Granada

Goalkeeper Tono (3.5); Defense: Guilherme Siqueira (5), Pape Diakhate (4.5), Allan Nyom (4); Midfield: Hassan Yebda (3.5), Dani Benitez (2.5), Mikel Rico (2.5); Forward: Youssef El Arabi (6.5), Antonio Floro Flores (6), Gabriel Torje (5), Fabian Orellana (3m).

Levante

Goalkeeper Gustavo Munua (1.5); Defense: Christian Lell (1.8), Pedro Lopez (1.5), Sergio Ballesteros (0.5); Midfield: Papakouli Diop (3), Pedro Rios (3), Vicente Iborra (2.5), Jose Javier Barkero (2), Oscar Serrano (1.8); Forward: Arouna Kone (4), Angel Rodriguez (1.5m).

Malaga

Goalkeeper Willy Caballero (3); Defense: Nacho Monreal (6), Jesus Gamez (5), Sergio Sanchez (4), Martin Demichelis (3.5); Midfield: Jeremy Toulalan (15), Isco (8), Joaquin (5), Julio Baptista (5), Eliseu (4); Forward: Sebastian Fernandez (3.5m).

Mallorca

Goalkeeper Doudou Aouate (2.5); Defense: Nunes (1.5), Antonio Lopez (1.5), Pedro Bigas (0.7); Midfield: Javi Marquez (6), Michael Pereira (3.5), Emilio Nsue (3), Alejandro Alfaro (3); Forward: Victor Casadesus (2.5), Javier Arizmendi (2), Tomer Hemed (2m).

Osasuna

Goalkeeper Andres Fernandez (1.5); Defense: Miguel Flano (5), Alejandro Arribas (2), Marc Bertran (2), Damia (2); Midfield: Alvaro Cejudo (2.5), Masoud Shojaei (2), Sisi (2); Forward: Emiliano Armenteros (2.8), Nino (2.5), Roland Lamah (2m).

Rayo Vallecano

Goalkeeper Daniel Gimenez (1); Defense: Jordi Amat (2), Jose Manuel Casado (2), Tito (1.5), Mikel Labaka (1.4); Midfield: Piti (2.5), Javi Fuego (2), Adrian Gonzalez (2), Roberto Trashorras (1.8); Forward: Lass Bangoura (2.5), Nicki Bille Nielsen (1.8m).

Real Betis

Goalkeeper Casto (2); Defense: Jose Antonio Dorado (2.5), Paulao (2.5), Nacho (2.5), Nelson (2); Midfield: Benat Etxebarria (3.5), Ruben Perez (2.8), Salva Sevilla (2); Forward: Ruben Castro (3.5), Salvador Agra (2.5), Jorge Molina (2.5m).

Real Madrid

Goalkeeper Iker Casillas (35); Defense: Sergio Ramos (34), Pepe (28), Marcelo (25), Alvaro Arbeloa (12); Midfield: Xabi Alonso (35), Mesut Ozil (32), Angel Di Maria (30); Forward: Cristiano Ronaldo (90), Karim Benzema (35), Gonzalo Higuain (35m).

Real Sociedad San Sebastia

Goalkeeper Claudio Bravo (5); Defense: Jose Angel (4), Mikel Gonzalez (3.5), Alberto de la Bella (3.5), Carlos Martinez (3); Midfield: Xabi Prieto (8), Chori Castro (6), David Zurutuza (4); Forward: Antoine Griezmann (8), Carlos Vela (6), Imanol Agirretxe (3m).

Real Valladolid

Goalkeeper Jaime Jimenez (0.6); Defense: Antonio Rukavina (1.3), Carlos Pena (1), Marc Valiente (0.9); Midfield: Patrick Ebert (2), Oscar Gonzalez (1.4), Jesus Rueda (1), Victor Perez (1); Forward: Javi Guerra (2.5), Juan Angel Neira (1.5), Alberto Bueno (1m).

Real Zaragoza

Goalkeeper Roberto Jimenez (5); Defense: Alvaro Gonzalez (2), Ivan Obradovic (2), Maurizio Lanzaro (1.5), Javier Paredes (1.5), Glenn Loovens (1); Midfield: Romaric (4), Franco Zuculini (3), Apono (3); Forward: Helder Postiga (4), Carlos Aranda (2m).

Sevilla

Goalkeeper Diego Lopez (8); Defense: Alberto Botia (6), Federico Fazio (4), Fernando Navarro (4); Midfield: Jesus Navas (20), Ivan Rakitic (9), Jose Antonio Reyes (9), Gary Medel (6), Piotr Trochowski (4.5); Forward: Alvaro Negredo (18), Manu del Moral (7m).

Valencia

Goalkeeper Vicente Guaita (7); Defense: Adil Rami (14), Jeremy Mathieu (12), Joao Pereira (10.5), Victor Ruiz (9); Midfield: Ever Banega (13), Pablo Hernandez (12), Tino Costa (9), Sofiane Feghouli (8); Forward: Roberto Soldado (18), Jonas (12m).

1 comment:

  1. Nimekukubali broo this is massive step yo made towards yo dream...so now yo a blogger gud tupe maapdate ya Sirea A coz najua unajua sana mengi ya Italia...:)

    ReplyDelete