
Hatimaye ile picha iliyoanza ya mshambuliaji nyota wa klabu ya Newcastle United ya nchini England Demba Ba kutua Chelsea imemalizika kwa mchezaji huyo kusaini rasmi klabu ya Chelsea na kutambulishwa kwa waandishi wa habari na kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez.Demba amesaini Chelsea kwa uhamisho wa kiasi cha euro 7.5 milion ukiwa ni mkataba wa miaka mitatu na nusu.
0 comments:
Post a Comment