
Klabu ya Corinthians imekamilisha usajili wa mshambuliaji Alex Pato kwa kiasi cha sh 15m.Mchezaji huyo ambaye ameamua kurudi nchini Brazil kunako klabu hiyo ya Corinthians ili aweze kujiimarisha kwani amekuwa akisumbuliwa sana na majeruhi yaliyomfanya muda mwingi kuwa nje ya uwanja.Pato anataraji kusaini mkataba wa miaka minne huku akipewa jezi namba saba.
0 comments:
Post a Comment