
Kiungo wa klabu ya Liverpool Joseph John "Joe Cole" hatimaye amejiunga na klabu ya West Ham United kwa muda wa miezi 18.Mchezaji huyo ambaye tayari amekwisha wahi kuichezea klabu hiyo ya London kwa miaka 5 tangu mwaka 1998-2003 amekabidhiwa jezi nambari 26.Siyo mgeni katika mazingira ya klabu hiyo kwani Joe Cole ni mwenyeji katika mazingira ya Upton Park sehemu aliyoanzia maisha yake ya soka la kulipwa.
0 comments:
Post a Comment