
Klabu ya Inter Milan imetinga katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Copa Di Italia mara baada ya kuifunga katika muda wa nyongeza klabu ya Bologna katika mechi iliyokuwa kali na ya kusisimua.Magoli ya Inter Milan yalifungwa na Fred Guarin,Rodrigo Palacio na beki Andrea Rannochia huku magoli kwa upande wa Bologna yakifungwa na Diamant pamoja na Manolo Gabiadinni.
0 comments:
Post a Comment