
Klabu ya Real Madrid imeweza kufanya vyema katika Ligi kuu ya soka nchini Hispania mara baada ya kuifunga timu ya Real Sociedad kwa magoli 4-3.Magoli ya Madrid yalifungwa na Karim Benzema,Xabi Alonso na magoli mawili ya Cristiano Ronaldo huku magoli ya Sociedad yakifungwa na Xabi Prieto aliyefunga magoli 3 peke yake.
0 comments:
Post a Comment