
Klabu ya Liverpool imefanya vyema katika kombe la FA mara baada ya kuifunga timu ya Mansfiled Town katika mfululizo wa kombe la chama cha soka nchini England maarufu kama FA.Magoli ya Liverpool yalifungwa na Daniel Sturridge dk ya 59 na Luis Suarez dk ya 59 na goli la Mansfield Town likifungwa na Mathew James Green dk ya 80.
0 comments:
Post a Comment