
Hatimaye kiungo nyota wa klabu ya soka ya Juventus ya nchini Italia Andrea Pirlo amechaguliwa katika kikosi cha wachezaji nyota 11 wa mtandao wa UEFA unaoitwa UEFA.com.Pirlo ambaye alikosekana katika kikosi cha wachezaji 11 wa FIFA ambacho kilitawaliwa na wachezaji wanocheza Ligi kuu ya soka nchini Hispania maarufu maarufu kama La Liga.Pirlo alichaguliw na mashabiki waliokuwa wakipiga kura kupitia mtandao wa UEFA.com
Kikosi kamili:
Timu ya mwaka 2012: Iker Casillas (Real Madrid & Spain); Sergio Ramos (Real Madrid & Spain); Gerard Piqué (Barcelona & Spain); Thiago Silva (Milan/Paris Saint-Germain & Brazil); Philipp Lahm (Bayern Munich & Germany); Andrés Iniesta (Barcelona & Spain), Xavi Hernández (Barcelona & Spain); Andrea Pirlo (Juventus & Italy); Mesut Özil (Real Madrid & Germany); Lionel Messi (Barcelona & Argentina); Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Portugal).
0 comments:
Post a Comment