
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania PepGuardiola amejiunga rasmi na klabu ya Bayern Munich kwa mujibu wa mtandao wa klabu hiyo.Bayern ambao kwa sasa wapo chini ya kocha Jupp Heynckes,wamesema kuwa Pep atajiunga rasmi na timu hiyo mwanzoni mwa msimu ujao wa 2013-14.Kwenda kwa Guardiola Bayern kutaifanya Ligi ya Bundes kuwa miongoni mwa Ligi zenye mvuto duniani.
0 comments:
Post a Comment