Lio

nel Messi ametangazwa tena kuwa mchezaji bora wa ile tuzo ya Barron d'or kwa mara ya nne mfululizo.Lionel Messi amewashinda wenzake wawili walioingia katika kiny'ang'anyiro hicho cha uchezaji bora wa dunia.Wachezaji hao ni pamoja na Andres Iniesta(Barcelona) na Cristiano Ronaldo(Real Madrid).
0 comments:
Post a Comment