![]() |
Rashid Sumaila |
Katika kuelekea kwenye mIchuano ya mataifa ya Afrika,hatimaye kocha wa timu ya taifa ya Ghana Kwesi Apiah ametangaza kikosi chake cha wachezaji 23 watakaoiwakilisha nchi hiyo katika michuano ya mataifa ya Afrika siku tisa zijazo kuanzia sasa(19/01/2013).Akitangaza kikosi hicho,kocha wa Ghana amewashangaza wengi kwa kumtema beki wa kati Rashid Sumaila anayeichezea timu ya Asante Kotoko toka ya nchini Ghana.
Kikosi kamili cha Ghana:
MAGOLIKIPA: Adam Kwarasey, Fatau Dauda and Daniel Agyei
MABEKI: Harrison Afful, John Paintsil, Richard Kissi Boateng, Wakasu Mubarak, John Boye, Isaac Vorsah, Jonathan Mensah, Awal Mohammed, Jerry Akaminko.
VIUNGO: Anthony Annan, Derek Boateng, Rabiu Mohammed, Agyemang Badu, Solomon Asante, Albert Adomah, Christian Atsu and Kwadwo Asamoah
WASHAMBULIAJI: Asamoah Gyan, Richmond Boakye Yiadom and Emmanuel Clottey
0 comments:
Post a Comment