
Timu ya Swansea imelazimshwa sare na klabu ya Arsenal kwa kutoka sare ya magoli 2-2 ikiwa ni raundi ya tatu ya kombe la chama cha soka nchini England la FA.Magoli ya Swansea yalifungwa na Michu dk ya 58 na Danny Graham pia katika dk ya 87.Magoli ya Arsenal yalifungwa na Podolski dk ya 81 pia na Kieran Gibbs.
0 comments:
Post a Comment