Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Thursday, January 10, 2013

KUELEKEA MATAIFA YA AFRIKA:CONGO YATAJA KIKOSI CHAO CHA MWISHO


 

Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya DRC Congo Claude Le Roy ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoiwakilisha timu hiyo katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayoanza mwezi huu tarehe(19/01/2013) nchini Afrika Kusini.Katika kikosi hicho yupo nahodha wa zamani wa nchi hiyo Lua Lua.

Kikosi kamili:

MAGOLIKIPA: Robert Kidiaba (TP MazembeEnglebert), Bakala Landu (AS MK Etancheite), Parfait Mandanda (Charleroi)
 
MABEKI: Mpeko Issama (AS V Club), Jean Kasusula (TP Mazembe Englebert), Larrys Mabiala (Karabukspor), Chancel Mbemba (Anderlecht), Cedric Mongongu (Evian Thonon Gaillard), Landry Mulemo (Kortrijk), Gabriel Zakuani (Peterborough United).
 
VIUNGO: Mukuntima Kisombe (Daring Club Motembe Pembe), Cedric Makiadi (SC Freiburg), Zola Matumona (Mons-Bergen), Tresor Mputu (TP Mazembe Englebert), Youssouf Mulumbu (West Bromwich Albion), Luvumbu Nzinga (Rojolu)
 
WASHAMBULIAJI: Yves Diba (Najran), Patou Kabangu (TP Mazembe Englebert), Alain Kaluyituka (Al Kharitiyath), Deo Kanda (TP Mazembe Englebert), Lomana Lua Lua (Karabukspor), Buge Mania (Shark XI FC), Dieumerci Mbokani (Anderlecht).

0 comments:

Post a Comment