
Klabu ya Juventus ya nchini Italia imefanikiwa kumnasa mchezaji wa klabu ya Shanghai Shenhua Nicolas Anelka.Kwa mujibu wa mtandao wa klabu ya Juventus,Anelak atalipwa mshahara wa kiasi cha fedha €600,000 kwa miezi mitano pamoja na bonasi katika mechi.
0 comments:
Post a Comment