
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Chelsea Demba Ba amefungua rasmi akunti kunako klabu ya Chelsea mara baada ya kufunga magoli 2 katika ushindi wa klabu ya Chelsea wa magoli 5-1 dhidi ya klabu ya Southampton.Demba Ba alikuwa shujaa wa mechi ya leo kwani aliweza kufunga magoli mawili katika dakika za 35 na 61 huku magoli mengine ya Chelsea yakifungwa na Victor Moses katika dakika ya 47,Branslav Ivanovic dk ya 52 na Frank Lampard Jr kunako dk ya 83.
0 comments:
Post a Comment