![]() |
Giancarlo Abete |
Rais wa Shirikisho la soka nchini Italia(FIGC) ndugu Giancarlo Abete ameteuliwa tena kuwa Rais wa Shirikisho hilo kwa kipindi cha miaka minne ijayo mpaka mwaka 2017.Katika uchaguzi wa shirikisho hilo,Abete ndiye aliyekuwa mgombe pekee na alipata kura 256 ambazo ni sawa na 95% ya kura zote.Abete alizaliwa mwaka 1950 na aliingia madarakani kwa mara ya kwanza kama rais wa FIGC mnamo mwezi April ,mwaka 2007.
0 comments:
Post a Comment