
Kocha mkuu wa timu ya soka ya Afrika Kusini maarufu kama Bafana Bafana Gordon Igesund ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kikiwa ndiyo kikosi cha mwisho kabla ya kuanza kwa fainali hizo za mataifa ya Afrika mnamo tarehe 19 mwezi ujao mwaka 2013.Zipo sura ngeni na za zamani hivyo kufanya kuwepo kwa mseto wa wachezaji vijana na wakongwe.
Kikosi kamili:
Bafana Squad:
Goalkeepers: Itemeleng Khune, Wayne Sandilands, Senzo Meyiwa
Defenders: Bongani Khumalo, Siboniso Gaxa, Siyabonga Sangweni, Anele Ngcongca, Tsepo Masilela, Thabo Nthethe, Thabo Matlaba
Midfielders: Lerato Chabangu, Thulani Serero, Kagisho Dikgacoi, Dean Furman, Reneilwe Letsholonyane, Siphiwe Tshabalala, May Mahlangu, Thuso Phala, Oupa Manyisa
Strikers: Bernard Parker, Tokelo Rantie, Lehlohonolo Majoro, Katlego Mphela.
0 comments:
Post a Comment