Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Wednesday, November 14, 2012

TAIFA STARS YAIFUNGA KENYA

Goli alilofunga beki wa kati wa klabu ya Azam na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Aggrey Morris lilitosha kuipa ushindi timu hiyo wa goli 1-0 dhidi timu ya taifa ya Kenya 'Harambee Stars'.Katika mechi hiyo iliyochezwa uwanja wa CCM Kirumba wa jijini Mwanza ulikuwa ni mmoja kati ya michezo iliyochezwa katika kalenda ya FIFA hii leo.
Vikosi:


Taifa Stars; Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Amir Maftah/Nassor Masoud ‘Chollo’ dk70, Aggrey Morris, Kevin Yondan, Frank Domayo, Salum Abubakar/Amri Kiemba dk69, Mwinyi Kazimoto/Simon Msuva dk69, Mbwana Samatta/John Bocco dk 84, Mrisho Ngassa/Shaaban Nditi dk72 na Thomas Ulimwengu/Issa Rashid dk 89.  
Harambee Stars; Frederick Onyango, Brian Mandela, Eugene Asike, James Situma/Christopher Wekesa dk 46, Edwin Wafula, Jerry Santo/Anthony Akumu dk 46, Peter Opiyo/Charles Okwemba dk 67, Patrick Obuya, Patrick Osaika/Mulienge Ndeto dk 73, Dennis Oliech na Wesley Kemboi/Timbe Ayoub dk 46.

0 comments:

Post a Comment