
Wakiongoza kwa magoli 2-0 mpaka kueleke mapumziko klabu ya Arsenal ilishindwa kuibuka na ushindi katika pambano la klabu bingwa barani ulaya lililofanyika nchini Ujerumani katika uwanja wa Vertins Arena.Lakini Schalke walikuja juu na kusawazisha magoli hayo na hivyo kufanya magoli kuwa 2-2 mpaka mwisho wa mchezo.Magoli ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott na Olivier Giroud wakati Klaas Jan Hunterlaar na Jerfeson Farfan walifunga kwa upande wa Schalke 04.
0 comments:
Post a Comment