Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Tuesday, November 6, 2012

MADRID YABANWA NA DORTMUND NYUMBANI

Real Madrid jana walijikuta tena katika wakati mgumu mara baada ya kukubali sare ya kufungana ya magoli 2-2 dhidi ya timu ngumu ya Borrussia Dortmund katika pambano lililofanyika Santiago Bernabeu.Katika pambano hilo kiungo mchezeshaji Marco Reus alianza kufunga kwa upande wa Dortmund kabla ya beki wa Real Madrid Pepe kusawazisha goli hilo.Alvaro Alberoa alijifunga goli lingine kabla ya kiungo mchezeshaji Mesut Ozil kusawazisha goli hilo na hivyo kufanya mechi kuisha kwa sare ya 2-2.

0 comments:

Post a Comment