Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Tuesday, November 6, 2012

MAN CITY YABANWA NYUMBANI NA AJAX UCL

Klabu ya Man City imeshindwa kufanya vyema katika michuano ya klabu bingwa Ulaya mara baada ya kulazimishwa sare ya magoli 2-2 na klabu ya Ajax Amsterdam katika mwendelezo wa Ligi ya mabingwa barani Ulaya.Katika mchezo huo ilimshuhudia kocha wa Man City Roberto Manchini akimbwatukia refa wa mchezo huo Peter Rasmussen na hivyo kujiweka katika wakati mgumu kukwepa rungu la chama cha mpira wa miguu ulaya UEFA.Manchini anaweza kufungiwa mechi moja pamoja na faini kutokana na kitendo hicho.
Magoli ya mchezo huo yalifungwa na Yaya Toure dakika ya 22  na Sergio Aguero na 74 wakati mchezaji Siem De Jong alifunga magoli yote kwa upande wa Ajax

0 comments:

Post a Comment