Adriano,David Villa na beki Jordi Alba jana walikuwa mashujaa wa klabu ya Barcelona ambao walipata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Celta Vigo.Katika mechi hiyo wachezaji Lionel Messi na Xavi walionesha tuzo walizopata ya ufungaji bora Ulaya kwa Messi na uchezaji bora kwa msimu uliopita kwa Xavi.
Wakati huohuo wapinzani wao klabu ya Real Madrid nao walipata ushindi wa magoli 4-0 dhidi Zaragoza.Magoli kwa upande wa Real yalifungwa na Higuain,Di Maria,Modirc na Essien.
0 comments:
Post a Comment