Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Wednesday, November 7, 2012

MAN UNITED YAZIDI KUTAKATA UCL

Klabu ya Manchster United jana iliendeleza rekodi yake ya ushindi mara baada ya kupata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya timu ya Braga ya nchini Ureno katika mwendelezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.Katika mechi hiyo Braga walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa mchezaji wao Alan kwa njia ya penati kunako dakika ya 49.Man United walikuja juu na kusawazisha kupitia kwa mshambulaiji wao hatari Robin van Persie katika dakika ya 80 kabla ya Wayne Rooney kufunga kwa penati dakika ya 84 na Chicharito katika dakika ya 92.

0 comments:

Post a Comment