Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Wednesday, November 21, 2012

BENITEZ KOCHA MPYA CHELSEA


Baada ya taarifa rasmi kutoka kunako klabu ya Chelsea kuwa aliyekuwa meneja wa Chelsea Roberto Di Matteo kafukuzwa kazi, taarifa za hivi punde zinasema  kuwa kocha wa zamani wa vilabu vya  Valencia na Liverpool Rafa Benitez ametangazwa kuchukua mikoba ya kocha Di Matteo kunako klabu ya Chelsea.
Benitez ataifundisha timu hiyo ya Chelsea kwa muda wote uliosalia wa msimu wa Ligi kuu ya nchini England.

0 comments:

Post a Comment