Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Wednesday, November 21, 2012

ARSENAL,AC MILAN,DORTMUND,PSG NA PORTO ZASHINDA KLABU BINGWA

Magoli ya Jack Wilshere na Lukas Podolski yalitosha kuipa klabu ya Arsenal ushindi mzuri katika Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya klabu ya Montpellier na hivyo kufuzu kwa raundi ya 16 bora ukiwa umesalia mchezo mmoja.Katika mechi hiyo mshambuliaji Olivier Giroud alitoa pasi za magoli yote mawili .

Katika kundi hilo klabu ya Schalke iliifunga timu ta Olympiacos  1-0.


Anderletch 1-AC Milan 3.

Magoli:  S.El Shaaawy 47
             P.Mexes 71
             Pato 91                                     T.De Suter 78


Ajax 1- Dortmund 4

Magoli:  M.Reus 8
             M.Goetze 36
             Lewandowsk 41,67             D.Housen 86


Man City 1- 1 Real Madrid

Magoli: Benzema 9,Aguero 72


0 comments:

Post a Comment