
Beki mahili wa pembeni wa klabu ya Chelsea Ashley Cole atalikosa pambano la kukata na shoka kati ya timu yake ya Chelsea dhidi ya klabu ya Liverpool pambano litakalokuwa la kukata na shoka na la kusisimua.Tayari kinda Ryan Bertrand anatazamiwa kuchukua nafasi ya Cole katika mechi hiyo dhidi ya Liverpool.Cole tayari ameshakosa mechi tatu ambazo ni mechi mbili za Ligi ya Mabingwa kati ya Chelsea dhidi ya Shakhtar Donestic ya nchini Ukraine pamoja na mechi dhidi ya Swansea na mechi dhidi ya Liverpool katika mwendelezo wa Ligi kuu ya soka nchini England.
0 comments:
Post a Comment