
Timu ya Taifa ya Ureno nayo ilikwenda sre ya magoli 1-1 na timu ya Ireland ya Kaskazini katika kufuzu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil kwa bara la Ulaya.Alikuwa ni Helder Postiga aliyesawazisha goli la Ureno mara baada ya kuwa nyuma kwa goli moja lilifungwa na McGinn.

Katika pambano hilo winga wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo alikuwa akitimiza mechi yake ya 100 tangu aanze kuichezea timu hiyo ya Ureno mwaka 2003.
0 comments:
Post a Comment