
Alikuwa ni Mario Balotelli ambaye jana alikuwa mwiba sana katika safu ya ulinzi ya Denmark iliyoongozwa na nahodha wake Daniel Agger na Simon Kjaer.Katika pambano hilo Italia walishinda magoli 3-1 kwa magoli ya Mario Balotelli,Daniele De Rossi na Ricardo Montolivo.Katika pambano hilo mshambuliaji Pablo Daniel Osvaldo alitolewa nje kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza.
0 comments:
Post a Comment