
Alikuwa ni kiungo Stewart Downing ambaye alikuwa ni shujaa wa Liverpool mara baada ya kufunga goli la ushindi dhidi ya timu ya Anzhi na hivyo kuipeleka timu kileleni mwa kundi lao.Downing alifunga goli hilo katika dakika ya 53.
A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com
0 comments:
Post a Comment