
Ilikuwa ni sare ya magoli 2-2 mpaka pambano linakwisha kati ya wekundu wa msimbazi klabu ya Simba dhidi ya timu ya Kagera Sukari maarufu kama wana Nkurukumbi katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam ukiwa ni mwendelezo wa Ligi Kuu ya soka ya Vodacom Tanzania.Magoli ya Simba yalifungwa na Felix Sunzu na Mrisho Ngassa huku Themi felix na Salum kanoni wakifunga kwa upande wa Kagera Sukari.
0 comments:
Post a Comment