
Timu ya taifa ya England imelazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil katika bara la Ulaya pambano likipigwa Naradowy-Warszawa.Magoli hayo yalifungwa na Wayne Rooney kwa upande wa England katika dakika ya 31 huku Kamil Glik akiisawazishia Poland katika dakika ya 71 na hivyo pambano kuisha kwa sare ya goli 1-1.

0 comments:
Post a Comment