 |
Mfungaji wa goli la Norwich Grant Holt akishangilia goli |
Klabu ya Arsenal imekubali kipigo cha goli moja toka kwa klabu ya Norwich katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya soka nchini England.Goli la Norwich lilifungwa na mshambuliaji na nahodha timu hiyo Grant Holt katika dakika ya ya 19 ya mchezo na lilidumu kwa dakika zote 90.
 |
Nimerudi tena,Jack Wilshere akiwa katika benchi la wachezaji wa akiba |
Katika mchezo huo kiungo wa kimataifa wa England Jack Wilshere aliweza kukaa benchi la wachezaji wa akiba kwa mara ya kwanza baada ya kipindi cha takribani miezi 14.Lakini kocha Arsene Wenger hakumchezesha kiungo huyo katika mechi ya jana.
0 comments:
Post a Comment