
Watu takribani 200 walikamatwa katika mechi ya wapinzani wa jadi kunako Ligi ya sika nchini Ujerumani 'Bundesliga'kutoana nakufanya vurugu katika mechi hiyo.Pambno hilo lililmalizika kwa Schalke kuifunga Dortmund nyumbani kwa magoli 2-1.Magoli ya Schalke yalifungwa Ibrahim Afellay huku Lewandoski akifkwa upande wa Dortmund.
0 comments:
Post a Comment