
Mshambuliaji Lionel Messi jana alizidi kuonesha makucha yake mara baada ya kufunga magoli 3 katika ushindi walioupata klabu ya Barcelona wa magoli 5-4 dhidi ya Detportivo La Coruna katika pambano lililofanyika Riazor uwanja wa Derpotivo.Magoli mengine ya Barcelona yalifungwa na Tello na Jordi Alba huku magoli ya Derportivo yakifungwa na Pizzi(2), Alex Bergantinos na Jordi Alba aliyejifunga.
0 comments:
Post a Comment