
Klabu ya Juventus imezidi kujikita kileleni mara baada ya kuwafunga wapinzani wao katika Ligi ya Serie A klabu ya Napoli kwa magoli 2-0.Magoli ya Juventus yalifungwa na beki Martin Caceres na kiungo Paul Pogba.
A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com
0 comments:
Post a Comment