
Mchezaji bora wa dunia mara tatu Lionel Messi alikuwa shujaa wa Argentina mara baada ya kuifungia mara 2 katika ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Uruguay.Messi alifunga magoli hayo katika dk za 66 na 80 huku mchezaji nyota wa Man City Kun Aguero naye akifunga katika dk ya 75.
0 comments:
Post a Comment