
Winga wa klabu ya Tottenham Spurs ya nchini England Gareth Bale jana alikuwa shujaa wa mechi dhidi ya Scotland katika pamabno la kufuzu kwa fainali za kombe la dunia nchini Brazil 2014.Bale alifunga magoli 2 na kuihakikishia timu ya Wales ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Scotland.
0 comments:
Post a Comment