Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Saturday, October 27, 2012

MESSI AFUNGA GOLI LA 300 WAKATI BARCELONA WAKISHINDA GOLI 5

Mchezaji Lionel MESSI jana alizidi kuweka rekodi zake mwenyewe mara baada ya kufingia klabu hiyo ya Catalunya magoli mawili katika ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya timu ya Rayo Vallecano.Yalikuwa ni magoli ya 72 na 73 katika mwaka huu wa 2012 na hivyo kuingia katika orodha ya wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya mwaka mmoja.

Pia Messi alifikisha jumla ya magoli 300 katika timu za Barcelona pamoja na nchi yake.Magoli mengine ya Brca yalifunga na Xavi,David Villa na Fabregas.

0 comments:

Post a Comment