
Ilikuwa ni Meseryside Derby ambapo klabu za Everton na Liverpool zilikutana pambano likifanyika pale Goodson Park.Alikuwa nyota wa mchezo Luis Suarez kwa upande wa Liverpool aliyefunga goli moja na goli lingine lilikuwa la kujifunga kwa beki wa kushoto wa Everton Leighton Baines huku magoli ya Everton yakifungwa na Osman na Steven Naismith.
0 comments:
Post a Comment