Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Tuesday, October 9, 2012

MAN UNITED NA REAL MADRID ZAONGOZA KWA MAUZO YA JEZI

Rafael da Silva - Manchester United - Liverpool - Anfield - September 2012
Klabu za Real Madrid na Man United zimeongoza kwa mauzo ya jezi duniani pasipo kuhusisha mauzo ya bidhaa nyingine.Katika orodha hiyo vipo pia vilabu vya Barcelona na vilabu vingine vya Italia kama Juventus,Inter na Ac Milan.

Orodha kamili ni kama ifuatavyo.
RankTeamCountryShirts sold *Brand
1Manchester UnitedEngland1.4 millionNike
-Real MadridSpain1.4 millionAdidas
3BarcelonaSpain1.15 millionNike
4ChelseaEngland910.000Adidas
5Bayern MunichGermany880.000Adidas
6LiverpoolEngland810.000Adidas
7ArsenalEngland800.000Nike
8JuventusItaly480.000Nike
9InterItaly425.000Nike
10AC MilanItaly350.000Adidas

0 comments:

Post a Comment