Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Wednesday, October 24, 2012

MAN CITY YAFUNGWA KLABU BINGWA ULAYA

The floodgates are open: Christian Eriksen delights in scoring the third Ajax goal
Klabu ya Man City imeangukia pua mara baada ya kukubali kipigo cha magoli 3-1 dhidi ya klabu ya Ajax Amsterdam ya nchini Uholanzi.Ilikuwa ni kama vita ya Daudi na Goliathi kwani Ajax hawakupewa nafasi kabisa ya kumfunga Man City lakini filimbi ya mwisho ya mwamuzi Moen iliashiria kuwa Ajax walikuwa washindi kwa magoli 3-1.Magoli ya Ajax yalifungwa na Diem De Jong dk ya 45,Niklas Moisander na Eriksenn dk ya 68 huku Samir Nasri akifunga katika dk ya 22 ya kipindi cha kwanza.

0 comments:

Post a Comment