
Baada ya kukosekana muda mrefu kunako timu ya taifa ya Brazil,hatimaye kiungo mshambuliaji Ricardo Kaka alikuwa mmoja wa mashujaa w Brazil kaika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Brazil ama waweza kuwaita 'Selecao'.Ni miaka miwili tangu mchezaji huyo haonekan kunako timu ya taifa ya Brazil ambapo mara ya mwisho ilikuwa katika fainali z kombe la dunia nchini Afrika Kusini.
Katika pambano hilo Brazil walishinda kwa jumla ya magoli 6-0 dhidi ya Iraq huku mchezaji huyo naye akifunga goli katika mechi hiyo.Magoli mengine yalifungwa na Oscar (2) dakika za 22,27,Kaka dk ya 48,Hulk dk ya 56,Neymar 75 na Lucas dk ya 80.
0 comments:
Post a Comment