
Alikuwa ni kiungo mpiganaji Arturo Vidal aliyekuwa shujaa wa Juventus mara baada ya kuwafunga Catania 1-0 goli likifungwa na Vidal mwenyewe.Katika pambano hilo beki Giovanni Marchese wa Catania alitolewa kwa kadi nyekundu.
A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com
0 comments:
Post a Comment